Recent content by freelancer2302

  1. freelancer2302

    Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  2. freelancer2302

    Viwanja maeneo ya milimani

    Bado unacontact ya hao wanauza milimani
  3. freelancer2302

    Viwanja maeneo ya milimani

    Naomba niinbox number yako
  4. freelancer2302

    Chapati na vitumbua kwa order

    dar es Salaam
  5. freelancer2302

    Chapati na vitumbua kwa order

    Napika chapati na vitumbua kwa order. Kuanzia idadi ya kumi na kuendelea. Nitafute 0755840431.
  6. freelancer2302

    Baiskeli ya mtoto inauzwa

    Bei 30000/=
  7. freelancer2302

    Baiskeli ya mtoto inauzwa

    Bei 300000
  8. freelancer2302

    Natafuta supplier wa Tablets

    Wale wenye maduka plz leave your contact
  9. freelancer2302

    Natafuta supplier wa Tablets

    Ninahitaji kununua tablets 80 for an NGO(not for profit), natafuta mwenye tablets ambazo zina betri nzuri zaidi ya masaa 4. Specification Ram 512mb Storage 8GB screen size 7inch Brand: any Budget: Tsh.100000
  10. freelancer2302

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa.

    Nitafute I am interested
  11. freelancer2302

    House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya Kijitonyama

    Hii nyumba you need to trust us....ina hati na we are not bad guys. Hatuwezi kuwaweka kwenye trap. We can insure that in front of the court kama anything happen to you we are going to refund.
  12. freelancer2302

    House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya Kijitonyama

    Haya mbona mnaondoka kwenye mada....kama unaitaka nyumba tuwasiliane. Mnapoteza nguvu sana kwenye kukashifu, ungezihifadhi nguvu for getting money to buy for that of chanika
  13. freelancer2302

    House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya Kijitonyama

    Nyumba ya vyumba vinne inauzwa maeneo ya kujitonyama , eneo lina 1000mita za mraba. Ila nyumba imechukua mita za mraba 600. Mazingira ni mazuri pia iko karibu na Mesuma hotel. Ina vyumba vitano na vyoo na bafu viwili. Pia ina store ya nje. Vilevile nyumba hii ina parking capacity ya magari zaidi...
  14. freelancer2302

    Kiwanja Vijibweni bei 2.5Mil

    Miguu ni kipimo cha waingereza classic. Kilinganishi hiking chukua kuwa 1metre = 3feet
  15. freelancer2302

    INAUZWA Memory card za Sandisk 64GB

    Nauza MEMORY card ya simu for 35000tsh
Back
Top Bottom