Mkuu shukrani sana umeeonyoosha vizuri swali nililolkua nahitaji kupata ufafanuzi shukrani sana hiki ndicho nilichokusudia hasa mtu anajuaje kama anahitajika engineer wa civil, elctrical etc. katika zile nafasi zinzotangazwa katika mkeka.
Wakuu
Naomba kuuliza hivi hizi nafasi zilizowekwa kwa majina ya ujumla mfano Engineer II unawezaje kupata taarifa sahihi za kujua ni Engineer wa nini anayehitajika hiyo nafasi (Majengo, umeme, barabara, n.k) au mtu anaomba tu watachambua wenyewe.?
Wakuu
Aliyopo TANESCO TTCL au TRC watupe abc za abc hali zipoje huko upande wa maslahi na upatikanaji wa nafasi za kuhamia upoje hasa vitengo vya ufundi.
Mkuu type muongozo hii barua umeipata ofisi ya bodi ya Dar au Dodoma,
Nasi tunatarajia kumalizia hili deni karibuni ni vyema tukajua utaratibu wa kupata barua.
Natanguliza shukrani
@Ncherry1 bora wewe ndugu yangu umelipia mwezi wa 10 wenzako tumelipia mwezi wa 9 mwanzoni kabisa hadi leo hakuna dalili ya kufungiwa umeme huko mwisho wa reli, jibu ni hilo hilo kila mara hakuna mita, ila kinachoshangaza wengine wanafungiwa sijui mita zinatoka wapi.
Pole sana mkuu, jitahidi kupunguza vyakula vya wanga na sukari.
Unaweza kumtafuta dokta Boaz mkumbo na tiba yake ya sayansi ya mapishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Abdulwahid hizi bei za LED na smart ya Hisense naona zinachanganya kidogo jaribu kuziweka sana au hua zinabadilika badilika.
Isije kua napanga bajeti ya smart najikuta napata LED mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, hapa ngoja nifanye tathmini ili nijue bajeti inasimama wapi.
Ila napenda kujua kusafirisha hadi Kigoma itagharimu kiasi gani ili nipate hesabu kamaili.
Na utaratibu wa kupata mzigo unakuaje?
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Abdulwahid nikusumbue kidogo kiongozi, nataka unipe bei ya LED na smart tv za nch 32 na 40 nifanye tathmini mkuu.
Natanguliza shukrani mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.