Recent content by Freebird

  1. F

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    siku hizi mara nyingi nafanya cash transaction. Labda iwe emergency. Au natoa cash ATM, natuma kwa kutumia wakala. Hawa ni waizi tu.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Dar ni one big slum. chafu, no drainage, pollution za aina zote zimejaa. Hamna open space/ parks kwa ajili ya watoto na famililia. Baa na makelele ya mziki kila kona.
  3. F

    JamiiForums Tanzania TCRA na Kesho la Polisi (15040)

    Mm hiyo number wala message haiendi mda sasa, hata nikiwa na credit.
  4. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi

    Maneno mengi, hamna subtance!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Kwa hiyo mtuhumiwa katoroka! alipata dhamana kirahisi naona.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Japan miti haikatwi, husogezwa kupisha ujenzi

    Wakati wa ujenzi wa tanzanite bridge, miti yote iliyokuwepo ocean road imekatwa!
  7. F

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    Kuna mtu aliniambia ni badili hela zangu za shillingi iwe kwenye account ya dollars. Sasa nimeelewa kwa nn alisema hilo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Vodacom nimekuwa mteja mwaminifu kwa miaka 14 - Sasa inatosha

    Hili tatizo linaanza kuwa kitu cha kawaida kwa voda.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Matapeli 11 wadakwa na laini 9,389 za simu

    Police and TCRA watuambie hizo line elf 9 walipataje ili wananchi wachukue tahadhari.
  10. F

    JamiiForums Tanzania kwani mfumo wa cash less unasua sua Tanzania

    ushamba tu! mitozo kibao!
  11. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

    Kwenye msiba analeta mambo ya siasa!
Back
Top Bottom