Recent content by FREDY MBUGI

  1. F

    Msaada: Nahitaji ku-update taarifa kwenye maombi ya cheti cha kuzaliwa

    Habari zenu jamani, Nilikua nina apply cheti cha kuzaliwa online nikaambatanisha kitambulisho cha baba na leaving certificate wakadai ni-update kitambulisho cha mama na cheti cha la saba ila sasa nikitaka kuremove ili ni update walivyodai vile vya mwanzo vinagoma kuremove nifanyeje jamani msaada.
  2. F

    Mfumo wa PReM Number kwa NACTE umeanzishwa lini?

    Habarini jamani nilikua nauliza hivi mfumo wa PReM NUMBER NACTE umeanzishwa lini?
Back
Top Bottom