Recent content by fredy manyike

  1. fredy manyike

    Mwanzo wa meditation

    Mkuu habari ya leo.. nimekuwa mgeni kwenye hi mada na ni muhitaji pia..
  2. fredy manyike

    Hivi kwanini watanzania tunapenda kula kula sana tuwapo safarini?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]. Umenikumbusha mbali sana. Kuna siku nilikaa na dada mzuri sana kwenye siti. Alianza kula uyole kufika igawa mambo yakachange. Hadi nilihama kiti. Tatizo watu wana sifa sana njiani
  3. fredy manyike

    Ofisi ya Waziri mkuu kuanza kutumia usafiri wa bajaji na bodaboda lengo ikiwa kubana matumizi.

    Serikali ya sasa maigizo tu. Pumba pumba tu. Kuto tumia magari ya serikali si kubana matumizi. Cha msingi ni kubadilisha magar tu
Back
Top Bottom