Recent content by fredvanmeth

  1. F

    Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

    Ngoja nikupe siri kubwa ya kuongeza confidence. Kalili maneno ambayo unaweza kuongea zaidi ya dakika tatu, halafu nenda kasimame kwenye kioo kikubwa unachojiona angalau nusu ya mwili wako (kuanzia kiunoni hadi kichwani). Halafu anza kuongea yale maneno uliyokalili huku ukiitazama sura yako...
  2. F

    Mtarajiwa wangu simuelewi

    Achana nae bado hujachelewa . Jifunze kuacha .Usilazimishe awe wako . Mda bado unao
  3. F

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Nimeajiliwa mwak jaba na serikali na ninaishi maganzo kilometer 2 kutoka mgodi wa mwadui. Alichokiandika kuhusu mgodi wa mwadui kinaukweli mengi nimeyasikia na wabeshi bado wapo wanaendeleza izo harakati za kuiba mchanga na uwa wakirudi magnzo uwa wanakaa pembezoni ya mitaro wakisubir neema ya...
Back
Top Bottom