Yawezekana Mheshimiwa alipoupata alihisi kama wengine wahisivyo kwamba waraka huu si wa Lema bali amepewa na mtu mwenye busara sana, na akadhani kuufanyia kazi ni kufanikisha siasa za Lema na CHADEMA.
Lakini cha kusikitisha zaidi nahisi aliona auweke kando kwa kuhisi kwamba huu ni upepo tu...
Nasema hivi hako kajamaa ni kamburura, angekuwa ana uwezo wa kuisambaratisha CHADEMA kihoja na kikejeli asingekuwa na wazo la kutumia mpaka kituo cha polisi cha () kujizuia maovu yake.
Waelewa wote tunaelewa kwamba kajamaa kameingia CC kwa niaba ya kazi za mtu fulani tena mtoto wa ()...
Imezoeleka kwamba kila unaposikia maandamano, basi unakuwa ni mwanzo wa vurugu, kukosekana amani na utulivu, hali hii imekuwa mbaya zaidi imefikia baadhi ya watu kupoteza viungo na hata maisha. Hali inayopelekea uvumi mkubwa kwamba CHADEMA ndio chanzo au kiini cha matatizo hayo bila serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.