Recent content by Fredrick Jr

  1. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo namtumbo nije kilombero,morogoro vjjn,mjin,dodoma mjin,chamwino au kibaha idara ya secondari
  2. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    we unataka wap?
  3. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya sec. Njoo namtumbo nije morogoro mjin au vjjn,kilombero,dodoma pwani 0684370447
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    !!!!!!!!!!!!!!! Tunashukuru sana wadawu kwa kutukumbusha matukio mbalimbali hasa kama vile picha za zamani kwa ufupi nimefurahi sana.Ushauri wangu ni kwamba endeleni hivyo hivyo kutukumbusha.!!!!!!!!!!!!!!
  5. F

    JamiiForums Tanzania ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

    Nashukuru sana kwa elimu hii. Naomba nichangie hapa kidogo. Unajua asilimia kubwa ya watanzania hawana elimu na walio na elimu hawatoi elimu yao waliyopata kwa jamii kwa mfano somo kama hili wanaofaidika ni wachache tu (wasomi). Naomba tutumie fursa hii kama wasomi kuwapa/kupeleka elimu hii...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuwasha mwili baada kuoga

    Kwanza naomba niwasalimu wote wana jamii forum pamoja na Doctor natumaini wote ni afya njema. Doctor ninatatizo la kuwasha mwili kila baada ya kuoga muwasho huo huchukua robo saa hadi nusu saa hivi. Nimejaribu kubadili sabuni na kuacha kutumia sabuni na kubadili kutumia maji ya baridi au ya...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Siku ya 24

    Sawa sasa tuchukulie menstrual cycle ya siku 28 inakuwaje hapo? naomba unijulishe ni kwa jinsi gani? @cape
  8. F

    JamiiForums Tanzania Siku ya 24

    Habari wanaJF wote nafikikiri nyote ni wazima.Je siku ya 24 katika mzunguko wa mwanamke(menstrual cycle) kuna uwezekano wa kushika mimba? Naomba maoni yenu wanaJF. Ahsanteni!
Back
Top Bottom