...If you're a fearful get out of politics... Hii ni moja ya kauli ambayo nimeikubali sana kwa kuwa si tu imetamkwa na Mhe. Mbowe kwa kuwa ni mwenyekiti - CHADEMA (T) na mkuu wa kambi rasmi ya Upinzani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali imetamkwa na mtu ambae ni kiongozi, na kama...
Nataka kuona vijana wa Tanzania tunainuka na kuwa chachu ya mabadiliko ya kweli katika jamii zetu.
Tunahitaji mabadiliko ya kifikra katika nyanja muhimu mfano, kiucumu, kisiasa na kijamii.
Vijana tunaweza na tukisimama kwa umoja na kuiona Tanzania kama kiunganisho chetu tunafika mbali.
Natamani...
Kutokana na juhudi za Kamanda Mawazo Alphonce alieko Mkoani Kagera kwa ajili ya M4C, jana jioni familia ya Kagasheki imehamia Chadema. Mdogo wa Waziri Hamis Kagasheki anaeitwa Mbubarak Kagasheki pamoja na nduguye mwengine walimkabidhi kadi zao za CCM kamanda Mawazokwenye uwanja wa Rwamishenye...
Habari wadau,
Napenda kufahamu ni kiasi gani wajumbe wa tume hulipwa pale wanapoteuliwa kutekeleza majukumu yao.
Na wajumbe hao, hilipwa kwa siku au kwa mwezi?
Wajumbe hao hukipwa mishahara au posho?
Ni lini bajeti ya tume ilitengwa na kuidhinishwa na kikao gani ili fedha hizo zitumike?
Ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.