Recent content by Fred Leonard

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Ngoja nikuelezee hii kampuni ya LBL siwezi sema moja kwa moja kua mi matapeli lakini kumesha wahi tokea kampuni nyingi za namna hii kama kalybder, sme na zingine nyingi. Kampuni hizi hua zina dumu kwa miezi fulani 3 mpaka 6 baada ya hapo hutoweka na fedha za watu wengi so cha msingi ukisikia we...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Asante kwa ushauri🙏ngoja niifatilie
  3. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Asante sana kwa ushauri na motivation pia🙏 hyo coz ipo chuo gani kiongoz na coz ya diplomatic and military history ina relate na hyo ulio sema
  4. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Habari Ndugu wana jamii forum Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4 ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya 1. Political science and public administration 2.law 3. Law enforcement 4. Social work Zinahusu nini kiundani...
Back
Top Bottom