Recent content by FravoB

  1. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Asante. 0627 074103
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    23, account Yangu ya mwanzo iliibiwa so nikaanza upya
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

    Alikua kwenye mishe zake na Alikua anapaki bodaboda kando. Swala sio kwamba kwa Nini wamemgonga. Ila shida Ni Ile utu wa kwamba umesababisha ajali inahitaji uonyeshe ushirikiano wowote Hata wa kumjulia Hali muathiriwa. Unafikiri aliyemgonga aliwaza Nini, Kama sio kusema tu "achana nae" ndo maana...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

    Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Usikate tamaa mapema. Basi labda niseme Bado hujawa na future ndo maana imekua rahisi kutaka kubadili kozi, ni sawa na unabet tu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Kila mtu na bahati yake. Kazi haiji bila kuitafuta hivyo hata ukisoma kozi nyingine utatafuta tu. Kasome kozi hiyohiyo Tena kuwa huru kabisa na amini utatoboa.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Nilikosea Nika reply kwako badala ya muhusika
  9. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Sasa Kama humu mtandaoni post nimetuma Mimi na unaona bahati Yangu imejitokeza ya Nini kuingilia Kati. Tukifanya wote kazi si utanifanyia figisu ili ubaki wewe. Kama unataka kazi kuwa wazi kwa post yako update riziki yako jamani. Labda Kama ningesema siwezi ndo unitokeze useme unaweza ndugu...
Back
Top Bottom