Recent content by FRASTUS

  1. FRASTUS

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima kisheria ni lazima kujiunga na NSSF?

    Tafadhali Wadau naomba msaada katika hili. Je, ni lazima kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF? na kama si lazima Nawezaje kujitoa pasipo kujiunga na mfuko mwingine wowote ule?
  2. FRASTUS

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi

    Binafsi, Naomba ushauri ipi ni nzuri na imara zaidi kati ya Boxer, Sanlg, Haojue au kama kuna nyingine yoyote ile
Back
Top Bottom