Recent content by frasher HT

  1. frasher HT

    COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Wewe tulia mama yako kazi aliokuwa anaifanya kabla hajafa, imemkutanisha na dozen ya wanaume. Inawezekana mie nikawa baba yako kuwa na adabu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. frasher HT

    Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Upande wa pili vigezo ni undugu na urembo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. frasher HT

    Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Yeye ndo team manager anaweza panga na kupangua team yake wakati wowote kulingana na target ya team. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. frasher HT

    Dkt. Mahiga alifanyaje hadi kuwa DG wa TISS akiwa na miaka 35?

    Kwenye uhakimu hapo ndo si sawa ila kwingine upo sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. frasher HT

    Dkt. Mahiga alifanyaje hadi kuwa DG wa TISS akiwa na miaka 35?

    Utakuwa umedondosha akili zako njiani wakati unakuja jf. Jaribu kurudi na hiyo njia labda utaziokota urudishie mahali pake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. frasher HT

    Air Tanzania yatumia ndege zake kubeba mizigo. Yaanza na Visiwa vya Comoro, kwenda China na India karibuni

    Halafu hiyo sanitizer na barakoa unatumia kwa muda gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. frasher HT

    COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Kama ni corona hii iliyopo duniani, hata wa kwenu watakufa na hasa wewe tena maiti yako itachukuwa muda kuonekana. Kwa kuwa unaishi kama digidigi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. frasher HT

    COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Na wewe tangaza kama unaona wivu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. frasher HT

    Mnalalamika Serikali kuficha taarifa wakati nyie ni watoa taarifa na ni madaktari mnaothibitisha vifo na ugonjwa wa waliokufa kwa Corona!

    Wewe maiti yako itaokotwa hapo hapo kwa shemeji yako. Utazikwa na watu watatu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. frasher HT

    Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Anza kubadili hapo kwa shemeji yako, uone moto wake kama na wewe utabaki. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. frasher HT

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Kabla ya corona wakufia barabarani walikuwepo na wataendelea kuwapo sana hata baada ya corona. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. frasher HT

    TISS, take a note: WHO imeonya kuwa hakuna ushahidi watu waliougua korona kutoambukizwa tena

    Ndugu hebu tuache kwanza jitahidi wewe na familia yako kufata ushauri wa wataalam. Huu ugonjwa hakuna mwenye hati miliki, kwamba unaweza kuwapata wengine tu yeye hapana. Kwahiyo naomba TUSITISHANE fanya yako nao wafanye yao tutakutana mezani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. frasher HT

    TISS, take a note: WHO imeonya kuwa hakuna ushahidi watu waliougua korona kutoambukizwa tena

    Dah! Watu wa mikoani hawana uwezo wa kununua sanitizer!!!! Basi kuishi mikoani ni dhambi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom