Recent content by Franks

  1. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Rest in Peace Mama.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tiketi ni halali kwa yupi, mtoa huduma ama anae-hudumiwa?

    Nimelazimika kuuliza hivi kwa sababu ya changamoto za hapa na pale za kila siku, mfano ukinunua bidhaa dai risiti ukiuza dai risiti kwa mujibu wa TRA! Mara nyingi nimekumbana na adha ya maana halisi ya tiketi mfano mara nyingi tiketi zinazotolewa na wakala wa usafiri wa treni hasa dar hurudishwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria (Criminal case)

    Siku nyingine unapoomba ushauri hasa wa kisheria kua waz na si kumeza maneno vinginevo utaambulia majib mafupi yenye tija ama yasio na tija kisha tatizo likabaki palepale la kutoelewa, .
Back
Top Bottom