Madereva ndio changamoto.
Nakumbuka niliwahi kununua Bajaji kwa malengo ya kibiashara, lakini pale mwanzo sikuwajulia kwahiyo nikawa nawapatia wanalala nazo sasa changamoto ikawa ni wajeuri wanaleta hesabu kwa kujisikia au mpaka mpigizane kelele na ukizidisha sana wanakuletea Gharama za...
Unaweza kuchagua jat
Niche yeyote ile yaweza kujipatia viewers wengi kulingana na ubora wa maudhui yake, mfano mwengine huweza jipatia viewers 2000 hadi 5000 kwa siku au saa. Kitu cha pili hakikisha blog Yako inapatikana kwenye search engine zaidi ya 50 pamoja na kushiriki link ya maudhui mapya...
Jibu ni kwamba hasilimia kubwa ya wafanya Biashara na Wachimbaji wa Madini ya Vito hapa Tz, wengi wao hufanya biashara kwa mazoea, Huku wakiyafahamu vyema kwa mtizamo, lakini ukijaribu kuangazia zaidi katika upande wa thamani halisi huwa ufahamu wao ni Mdogo mno, kitu ambacho hukatisha tamaa...
Je, umekuwa ukifanya Biashara ya Madini ya Vito pasina faida au kutokuzitambua Thamani zake halisia ?
T-TanzaniteGram Blog ndio suluhisho la pekee. Nunua Vitabu vitakavyo kupatia mwongozo wa Thamani za Madini ya Vito aina zote kwa mwaka 2025.
WATAALAMU.
Thamani zilizo orodheshwa ndani mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.