Recent content by FRANKLY ANJOBEV

  1. F

    Mbunge wa Kilwa Kaskazini Awaumbua Wanaoshabikia Maandamano ya Gesi Asilia

    Hivi kweli Mtwara na hali ngumu ya maisha bado mji wenyewe haujachangamka wala kukua sana na leo hii gesi inapatikana ambayo hiyo ndio ingestahili kuwa chachu ya maendeleo ya Mtwara badala yake eti ipelekwe Dar na watu pamoja na huyu mbunge anashabikia,hivi kweli ni akili hiyo au? Dar kila kitu...
  2. F

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    Jamani Watanzania wa leo kweli bado hatuwezi kufunguka na kuangalia mbali? Mtu huyu huyu ndio aliejiuzulu kwa kashfa alafu leo hii anataka nafasi ya urais na jinsi tulivyowanafiki wale ambao ndio walkua wanaongoza ndani ya bunge na hata nje ya bunge kumsema ndio wakwanza leo hii mnamuunga mkono...
Back
Top Bottom