Recent content by franklinhs1

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

    Mpenda sifa yamemfika.kuua au kuondoa damu ya binadamu mwenzio hakika Mungu hatakuacha salama hata kama una ulinzi wa namna gani.Alichokiumba na kukileta duniani hakika binadamu hawezi kukiondoa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamtafuta Askofu Kakobe maana amekuwa akitoa maneno ya kashfa katika Mahubiri yake

    Rais yeyote ni binadamu kama wengine.kukosolewa ni jambo la kawaida.akina Mambosasa wanaogopa kutumbuliwa.Je?angemsifia mngemkamata?mbona Askofu shayo wa zanzibar hamjamhoji au hamjasilikiliza ujumbe wake?
Back
Top Bottom