Kwny mpr usidharau kbs mtu.. Yan mpr ndo mchezo wa htr na unaweza ukakufanya ukabak unashangaa.
Mm leo nilikua na waswas Sana navosikia Kila mtu anaimba kua Nigeria leo mapema Sana.
Hawa wapuuz walikua na bahat na walikua wanaenda Kila hatua unaona wanabadilika na wanapata morali ya kupambana...
Hawa wajinga walikua na bahat.
Asee lkn huwez kusema hakustaili wamestaili wamecheza vzr Sana Asa leo na yote iyo ni upumbav wa Nigeria pia kurelax.
Kongolee AFCON champions [emoji1081]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.