Ndio matokeo ya serikali kutokuwa sikivu, na kutumia nguvu kubwa kupambana na wananchi. Jamani serikali ikae na wananchi wa mtwara na iwasikilize kusudi wapate ufumbuzi wa kudumu kuhusu suala lao hlo jepesi sana.
Aliyepata kujua kilichozungumzwa kwenye mkutano wa Kikwete na wabunge wa ccm juzi kati hivi pale Dodoma. Utajua kuwa hakuna kiongozi yeyote CCM, Kama wanaCCM wanaoikosoa ccm wanaonywa mf. Mpina, Filikunjombe na mwenzake. Unarajia aje nani mwenye mtazamo chanya kwa taifa hili. Hamna yeyote hap...
Karibu sana Prof, umefanya uamuzi sahihi sana. Shiriki katika kutetea haki za wanyonge. Taifa tulilonalo limekosa mwelekeo kwa sasa. Mimi na wewe ndo dira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.