Mkuu ufuta unastawi ukanda wote wa pwani na maeneo ya karibu nayo, Wilaya zinazoongoza ni Liwale, Kilwa, Nachingwea, Luangwa, Masasi, Tunduru, Songea pia Ifakara, Tanga kiufupi ni maeneo mengi sana mpaka Mbeya ufuta unalimwa. Kuhusu gharama ni za kawaida kama mchangiaji alivobainisha hapo juu na...