Recent content by Frank takis

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Kabisa ..shukran
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Duuh na wewe pia !? Una degree na upo mtaani
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Vipi Kwa upande wa pharmacy
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Hapan nimetaka tu kujua lakini hamna shida
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Ooh..ulisomea chuo Gani!?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Asante Kwa ushauri
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Asante Kwa ushaur I wako nzuri ...je Kwa ufahuru uo nikiomba pharmaceutical sciences kwenye chuo kama muhas .cuhas. naweza nikapata nafasi!?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16 Biology A Chemistry A Physics C Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi kusomea hiyo course? Au Kuna course gani ya diploma ni nzuri Kwa wakati huu kutokana na ufaulu niliopata?
Back
Top Bottom