Recent content by Frank Sosthenes

  1. Frank Sosthenes

    Ajira portal

    Ndugu zangu napenda kujua hivi inakuwaje kwenye mfumo wa ajira portal nilifanya application nikawa shortlisted nkaenda written na oral nikaenda sasa ile application nilifanya sahivi kwenye ajira portal haionekani tatizo ni nini hapo.. Wakati ndo muda wa kusubiri matokeo kama nitapangiwa kazi au laa
  2. Frank Sosthenes

    MSAADA WAPEDWA

    Msaada wapendwa
  3. Frank Sosthenes

    MSAADA WAPEDWA

    Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi kwa ujumla vinauzwa kwa bei gan nataka kuanzisha ujasriamal
  4. Frank Sosthenes

    Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi.... KWA bei ya jumla vinauzwa kwa bei gan... Msaada wenu jaman

    Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi.....KWA bei ya jumla vinauzwa kwa bei gan.. Msaada wenu jaman
Back
Top Bottom