Recent content by Frank quails

  1. F

    Fursa: Ufugaji wa Tombo (Quails Farming)

    Unfortunately,the chicken cartels in Kenya made sure that the Quail never made it's debut in the country.They corrupted the media who tried to completely annihilate the quail and demoralize farmers.However,the tables have now been turned around.This cute diminutive bird is already claiming it's...
  2. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    When it comes to private enterprise, most 15-year-olds are doing well if they have a paper round. Tommy Burner has gone one better. He has built up a business breeding poultry and selling eggs to local shops and restaurants; he owns 3,500 quail and 300 ducks, and he has earned enough to import...
  3. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Asante Mkuu.Mbona ukajiita saa kumi na mbili?Mimi nawaweza kujiita 2359HRS maanake mimi ni mweusi kiasi kwamba tofauti kati yangu na usiku wa manane ni dakika moja tu.hehehe
  4. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Mkuu Naomba kuchangia kidogo.Hawa kware ni wa umri upi?kama ndo wameshatotolewa,wape chakula kama vile vifaranga wa kuku.yaani Chick start(unaichanganya na maji),starter mash kama ya broiler,glucose na maji.Chunga wasiingie ndani maji maanake watafariki.Waweza kutumia bakuli ya maji lakini uweke...
  5. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Thank you sir.With all due respect,i acknowledge everyone's opinion or idea and even encourage it.But no one has a right to force their opinion on you if you're not willing to accept it.The negative articles,regarding quails,in the kenyan newspapers are written by officials who have been...
  6. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Mkuu..Asante kwa maoni yako.Siko hapa kuwalaghai watu.Nataka kuwekeza huko Tanzania.Nina mayai na mashine ya kutotolea.Nataka Mtanzania wa kushirikiana naye.Sina ubaya wowote.Mimi mwenyewe ntayaleta mayai.
  7. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Samahani..Jibu lako lako nimelituma pasipofaa. Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware...
  8. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Vipi mambo?Ni shilingi 300 za Tanzania lakini bei itashuka iwapo wataka mengi.
  9. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware bila cheti kutoka kws.Kuna watu wengi wanoufuga bila...
  10. F

    Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

    Hamjambo marafiki wa kware!Mayai ninayo kwa bei ya shilingi 300 kila moja ila niko kenya.Nambari yangu ya simu ni +254726984981.Mayai haya ni freshi,yametagwa na kware wangu wenyewe na yako tayari kupelekwa kwa mashine ya kutotolea.
Back
Top Bottom