Recent content by Frank Mbiligenda

  1. Frank Mbiligenda

    Katiba Mpya

    Hivi sisi wanachi tunaulazima wa kudai katiba mpya ili hali wanasiasa washaanza kurumbana?
  2. Frank Mbiligenda

    GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi sisi wanachi tunaulazima wa kudai katiba mpya ili hali wanasiasa washaanza kurumbana?
  3. Frank Mbiligenda

    GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Maana simuoni akifanya kampeni mara ya mwisho alikuwa Kilwa. JamiiForums tuleteeni Membe nina maswali mengi juu yake.
  4. Frank Mbiligenda

    GE2020 Kwanini viongozi wetu wa Dini wanatusisitiza sana tudumishe amani yetu, lakini wanashikwa na kihoro kuwaambia wanasisiasa wetu watende haki?

    Yakaisari mwachie kaisari na ya mungu muachie Mungu.................Wahenga wanasema Usifuate matendo yangu fuata maneno yangu
  5. Frank Mbiligenda

    GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mh. Tundu Lissu Kwanini umechagua kugombea urais wa Tanzania kipi kilikusukuma kugombea nafasi hiyo? Kwanini kila hotuba zako unamtaja Rais Magufuli kwa ubaya na kashfa ?. Kipi utatufanyia sisi watanzania tukikuchagua ambacho kwasasa akijafanyika ? Kwanini ukuwasamehe waliokutendea mabaya...
Back
Top Bottom