nina demu wangu wa kikurya,in short nimemchoka,ila ananipenda,yani haachiki,ana huruma, hapendi kuniona nafuria,ila tatizo lake ni mvivu na anadanganyika sana na mambo madogo,yani akiwa na shida hata ukimpa ushauri wowote anaufanyia kazi,ukimsaidia unaweza kumpata......ila mambo yakibuma ndo...