Recent content by Frank J M

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tafadhali,nimetolewa kwenye ajira mpya/ualimu

    Vyeti vyote ninavyo na hata ile orodha ya kwanza nili -print,sasa nimeangalia sijaliona! Msaada tafadhali
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tafadhali,nimetolewa kwenye ajira mpya/ualimu

    Habari wana Jf. Naombeni msaada na ushauri wenu! Nilikuwa nimeorodheshwa kwenye website ya Elimu nikiwa miongoni mwa wlimu wapya ( shahada). Nikiwa mwl wa Mathematics na nilipangwa wilaya mojawapo ya mjini! Nimesafiri toka mkoa ninaoshi mpaka hapa mjini! Nikiwa hapa nimepitia yale majina,cha...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Link inayoonyesha matokeo ya Kidato cha Pili

    Wanahangaika na Digital ambako wanawaiba wanyonge/walala - hoi! wamesoma wao basi inatosha hawana habari na elimu
Back
Top Bottom