Habari ya majukumu,na hongereni kwa kazi ya ujenzi wa Taifa,mimi ni kijana wa miaka 31,ninatafuta kazi udereva,katika kampuni,taasisi,shirika na hata kwa mtu binafsi,nina driving licence class E(a,b,d&e) na driving certificate,nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu,ni mwenyeji wa maeneo mengi ya...