Recent content by Francis14

  1. Francis14

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

    Na mm sielewi namna ya kupiga kura
  2. Francis14

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mchele

    Mi natafuta soko kuendana na mahali ulipo nakuletea mfano nikitoa Tabora mchele mzuri una 1800 hadi 1700 grade 1 kwa mikoa ya Arusha ,Dodoma na kilimanjaro
  3. Francis14

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mchele

    M nataka niwe nanunua mchele na ninauza kwa mikoa ya kusini na mashariki nitapataje wadau niwe nawapelekea mzigo!??
  4. Francis14

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mchele

    Nina tani 3 tu!!
  5. Francis14

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mchele

    Waheshimiwa, Habari za uzima? Nataka nianze biashara ya mchele kutoa mikoa ya Mbeya, Morogoro, Tabora na Singida niwe napeleka Arusha, Moshi, Dodoma. Tupeane mnyumbuliko wapendwa, sina uzoefu na hii kazi. Tusaidizane jamani
  6. Francis14

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mchele

    Nataka nidhubutu kuwa nauza mchele kwa kusafirisha kutoka mikoa ya magharibi kwenda mikoa ya mashariki Tupeane Chanel wadau japo mtaji no mdogo la nataka nianze na huo huo, nasikia inalipa endapo utapata shule uwe unazihudumia, Taasisi ama Kampuni Tupeane channel wadau
  7. Francis14

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Jamani Mimi ninaplani ya kufanya biashara ya mchele kwa wale was Dodoma,Arusha na moshi mchele unabei gani na ili niweze kuuza hata tani moja kwa siku mbili nianzieje!??
Back
Top Bottom