Recent content by Fradon Megas

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Asante mkuu lakini nilisoma arts kaka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Asante mkuu wangu kwa ushauri mzuri
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Thank you mkuu... Napenda kuanza na iyo international relations and diplomacy
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Political science Theology Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Tourism Laws Bachelor of Science in Aquaculture and Aquatic Sciences Logistics and Transport Shipping and Logistics Management Shipping Economics and Logistics Bachelor of Accounting with Information...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Home ni Kishili kule ila ukinihitaji mwanza nzma natembea mkuu ntakuja
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Nipo mwanza mkuu ukinihitaji mkoa wwte tunaweza kuongea tu boss kuhusu malipo itategemea na ukubwa wa kazi boss nadhan unaelewa stationary management...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Apana Kuna sababu mbalimbali znanizuia... Kiafya pia
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Thanks 🙏 boss may the LORD pave your path too
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Nipo mwanza mkuu ila kama Kuna maelekezo juu ya nafas mkoa tofaut tunaweza kuongea tu boss
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Apana mkuu staenda kwa sababu mbalimbali ambazo naweza kueleza kama ikihitajika
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Mkuu mi nipo tayar kufanya kazi mambo ya malipo sio ishu japo napendekeza tu kiasi cha kawaida kitakacho ni boost tuition fee zangu za chuo na mahtaj madog
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu nipo tayar kufanya ata nikiwa chuo kama tu nitapata malazi. Pia Niko expert kwenye maswala ya computer...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri wa course ya kusomea

    Wakuu mnisaidie course Yani sielewi nipige art flat an course gani nzuri
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya course ya political science na ile ya international relations zina ajira za uhakika?

    Wakuu nisaidiwe apa, course ya political science na ile ya international relations ajira ni uhakika? Af ipi uhakika kutoboa apo
Back
Top Bottom