Recent content by Fowler

  1. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Polepole alipo sasa ni zaidi ya vichakani. Leta hoja nyingine babu!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM mmeshajiuliza kwanini mnapata viewers wachache kwenye live zenu, mnashindwa hata na Polepole

    Jamaa 1hr inaonesha views kibao, wenyewe saa zaidi ya saba lakini wapi!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Umeona vizuri sana mkuu. Nakuunga mkono 100%
  4. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Kusambaratika ndilo neno hasa alilotumia Polepole. Bila shaka unamsapoti bila kujua. Umesema "au wakirudi kupitia chama chao." Awali nimekuuliza kuna ubaya gani jamaa akipigania mabadiliko akiwa huko kwao, ilimradi mabadiliko ni ya kweli? Ni wazi hujui unalozungumzia au mko wawili mawazoni...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Unahisi CCM wote ni wabaya na kwamba sera yake ni mbaya 100%? Tuseme CCM imesambaratika kabisa, halafu hao watu wakahamia CDM, italeta tofauti yoyote?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Ni kosa kusafiri kwa chombo kinachomilikiwa kihalali na Mboga2?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Kuna ubaya akibaki CCM ilimradi mambo yote yakae sawa? Au umesimuliwa tu kuhusu maongezi yake? Umemwelewa kweli?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Kwamba walijaribu kumfuga kumbe jamaa wa kubagaza na kubananga yeye hafugiki? Hatari sana. Nadhani hiyo ndiyo sifa mojawapo ya kiongozi bora - kukataa kufungiwa kwenye chupa.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mkuu yeye anamshauri tu. Kwani kuna ubaya wowote?
  10. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

    Uko sahihi sana mkuu. Taifa lina safari ndefu mno.
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

    Fake hii mkuu. Photoshop nadhani. Jamaa wanapanda mabasi deile
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Kuhusu Lowassa nadhani alifafanua kwamba kwanza walijua fika asingeshinda na hata kama angeshinda asingetangazwa. Pili ambalo ndilo lengo kuu lilikuwa kujizolea idadi kubwa ya wabunge ili kwenda kuchochea mabadiliko ya msingi huko Bungeni. Simtetei TAL. Niko tu kwenye hoja.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Mkuu my point actually. Kwa nn wanajeshi wa Marekani hawakuwakamata wale mabaharia waliodaiwa ni wauza ngada? Kwa nn wakawaua pale baharini?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Duh nimekumbuka series ya Prison Break maneno makali ya Don Self kwa dada undercover Gretchen - alivyomtukania ukoo wake wote.
Back
Top Bottom