Recent content by fotuki

  1. F

    Msaada kuhusu mwanamke kubeba ujauzito

    Naomba kusaidiwa jambo, Hivi ni kweli mwanamke hawezi kubeba mimba hadi awe na ule ute usio na rangi (colourless)?.
  2. F

    Kama msichana ushavuka miaka 30 bado hujaolewa, jua una hali mbaya

    Kuolewa co birthday mkuu!!!!!!!! Na wala co mashindano. Maisha ni kujipanga. Kuolewa au kutokuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi na zaidi ya yote ni mipango ya Mungu.
  3. F

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    mkuu binafsi nashukuru sana kwakutudadavulia Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) lakini kwa bahati mbaya sijaona PHTS,PGSS na PTSS. Naomba msaada kiongozi.
  4. F

    Naombeni ushauri ndugu zangu wanajf

    Jamani nina rafiki yangu anafanya kazi kwa mkataba katika chuo flani cha serikali mkoani. Sasa Mungu amemsaidia kapata kazi ya kudumu serikalini. Tatizo ni kwamba kule alipo yaani mkoani kwenye kazi yake ya mkataba mshahara ni mzuri na maslahi yapo kama , hela ya nyumba, uasfiri n.k. Huku kupya...
Back
Top Bottom