Recent content by fortuner

  1. fortuner

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Afu pia kuna mbio na fujo vitu viwili tofauti sauli madereva wanafujo sana ni kweli kuna basi zinaKimbia lkn sio kwa fujo za kijinga
  2. fortuner

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Usichojua boss mwenyew ndo anataka mbio dereva asie na mbio kwake hana nafasi
  3. fortuner

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wazee wa tii sheria bila shuruti

    Nahisi wewe unawapenda aisee me nikiona zile uniform nachafukwa
  4. fortuner

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wazee wa tii sheria bila shuruti

    Nchi ngumu sana hii imagine hawa ndo wanapaswa kua mfano wa kutii sheria bila shuruti.
  5. fortuner

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Nimemalizia na sio mbaya hata hizi haja ndogo kuliko kukosa kbs ndo nilichomaanisha
  6. fortuner

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Mchina anafnya custumization vile unatka mteja ndo mana BM na Kidia zina maliwato japo ni haja ndogo tu sio mbaya
  7. fortuner

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Kwa aina ya bus zake lzm apate ugumu sokoni so hana namna lzm aende route ngumu
  8. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    DRH imerudi juzi ilkua inakula spana ishachanganya maji na oil NF hupumzisha gari kutoka na idadi ya fleet aliyonayo na ni utaratibu wake aliyojiwekea
  9. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    53*4=212 wote huanza kwenda Sauli kwanza then ndo warudi NF sawa kaka
  10. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Utunzaji wa gari ni wew tu mmiliki ndo mana kuna bus za kichina zina miaka4 mfano ni huyo abood hata hizo scania unazosema ulizia sauli ipi hawajawah kufungua mashine zingine zaid ya 4 times
  11. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Hii biashara ukiwa nje ni rahisi kusema uwezavyo lkn bus ya kichina kibiashara ni nzuri zaid inakupa faida haraka na kubwa coz running costs ni ndogo
  12. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Usichojua Newforce dar-tunduma zinaenda hadi bus 4 one way wew unasema ameteka soko kwa gari1 hesabu za wapi hizi
  13. fortuner

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Inategemea scania ipi special bus au hizi za kuunga km za KLM nafikiri unasifu usichokijua bus zake nyingi ni za kuunga unga sio special bus
  14. fortuner

    JamiiForums Tanzania Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

    The problem is full capacity na sio matengenezo wala idadi ndogo ya ndege bado wanafanya safari kiswahili kwa kujaribu kufanya delaying
  15. fortuner

    JamiiForums Tanzania Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

    Pesa yako tu bro ndo ina determine kuwah
Back
Top Bottom