Recent content by FORTUNE JR

  1. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

    Uzi mzuri sana Comrade, lakini ni Baadhi TU ya watu watakuelewa kwa kina ( Only strong Men). Hiki kipindi ni mhimu sana ku unlock self Conscious, kujielewa vizuri wewe binafsi bila kelele za jamii, Validation n.k. na unaweza kukua vizuri spiritual. Na hii ni Moja ya Art( The Art of surving...
  2. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku 180 za “NoFAP” Challenge. Vitu vikubwa na muhimu nilivyojifunza

    Nimeoa sasa mkuu, hivyo nimesahau kabisa maswala ya nyeto
  3. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Umeongea jambo lenye kina sana. Nimeguswa Sana na Hekima yako na neno la Muhubiri 1:18 limejaa uzito wa kiroho – na ni kweli kabisa: kadri mtu anavyoamka kiakili na kiroho, ndivyo huzuni ya ndani huongezeka, kwa sababu macho yake hayawezi tena kuhalalisha upumbavu wa dunia hii. Anakuwa kama...
  4. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Nilishatoa angalizo mwanzoni, kama huu Si Uzi wa kila Mtu, ni wa critical thinkers tu na matured mind. Ambao Jamii ikiwa Inawaza 1 wao wanatafuta 2,3,4 na 5 zilipo. Kuna zile nyuzi za kula tunda kimasihara nenda kule mkuu unafiti na utakutana na wenzako mruke pamoja
  5. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    L Mkuu, sioni shida umesema ulifurahia hizo 'romantic scenes' – lakini je, ulijenga chochote kinachodumu kutokana na hizo raha? Ulijifunza nini zaidi ya kurudia mizunguko ile ile ya tamaa? Ukisema unazitaka tena kama maisha yangerudi nyuma, basi hiyo si ushahidi wa uhuru – ni ushahidi wa...
  6. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Ndugu, si kila jambo ambalo halieleweki kwako ni upuuzi – na si kila linalozungumzwa na Waafrika ni la kipumbavu. Kujidhalilisha kwa kujilinganisha na "wazungu" wanaoendekeza pornography, huku ukibeza maadili ya kiroho ya Mwafrika, ni sawa na nyani anayejivunia minyororo ya dhahabu aliyofungwa...
  7. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mauti, Jinsi technolojia inavyomaliza kizazi kizima

    Same to me. Ni mitatu tu
  8. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mauti, Jinsi technolojia inavyomaliza kizazi kizima

    Tumefika pabaya, Huko tunakoenda ndo hatari kubwa mkuu.
  9. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mauti, Jinsi technolojia inavyomaliza kizazi kizima

    Kweli kabisa mkuu
  10. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Madini ya dhahabu haya umeyatoa mkuu umetoa
  11. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Cacastic, Iko Ivi mrembo; Ni kweli, kwenye maisha kuna mambo mengi zaidi ya "njegeka za malovee," pia Umesema "Waja hata hatujui nini tunataka," 😂 na nikupongeze kwa hilo; kweli kabisa, watu wengi hatujui. Na ndiyo maana mimi, kama kijana mwenzako, nimeamua kuleta huu Uzi. Siyo kuhusu "kuhaha...
  12. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Mkuu, umetoa hoja ya ki-falsafa ambayo kwa sehemu fulani si ya kupuuzwa – ila imepwaya kwa kutotofautisha kati ya "energy exchange" na "soul entanglement." Ndiyo – katika tendo la ndoa au mahusiano ya kimwili kuna "energy exchange." Wachina wanaita Yin na Yang kama ulivyosema – na ni kweli...
  13. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Asante na kar Asante na karibu Mkuu!
Back
Top Bottom