Inasikitisha sana Taifa lisilokuwa na uzalendo. Haya ndiyo matokeo ya kubebana, hurumahuruma kumbe ufisadi mtupu! bado naamini CCM hakuna kitu, ni ujanja ujanja tuuuu, hakuna cha kujivua gamba wamba kujichuna ngozi, gamba limeshakomaa hilo, la kobe linaadhali unategemea nini? wazalendo wa kweli...