Hamchoki na habari za akina Kagenzi, Mwangosi, Ulimboka na Kibanda... Leo Ndio Mnastaajabu ya Musa? Mbona Yanakuja Mengi Sana Zaidi ya Hayo? Tena ktk kipindi hikihiki cha uchanguzi... MUNGU anataka Kuonyesha hakuna ufalme zaidi ya Ufalme wa MUNGU...
ukiwa na PM mchemfu kama MP ni mwanzo wa kuangamia kwa taifa
- Alihalalisha wananchi kupigwa na polisi akaokolewa na cheo kama dhamana
- Alihalalisha waua albino kuuawa bila hukumu akaokolewa kwa kulia mpaka machozi bungeni
- Alisema rais amepitisha nyongeza ya posho za wabunge rais huyohuyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.