Tusaidiane wana jf,mm pia nimesoma full sectarial course pamoja na Hotel management lkn kila napoenda kuomba kazi naambiwa nafasi hamna,ukibahatika unaambiwa acha cv kuitwa majaariwa.tena bora umkute reception wa kiume anaweza kuzifikisha kwa mhusika,ila siye
Du!kweli ajira zimekuwa ngumu,hasa kwetu sisi wa dada mpaka unafikiri kujiingiza kwenye mambo yasiyo takiwa ili mkono uende kinywani,mm pia nishahangaika sana bila mafanikio, watu wanajiajiri kwa kujuana, uji
1.nishawahi kunidanganya sana,ila kwa kitu chenye faida.na sijawahi jutia.
2.sijawahi kudhurumu wa kuiba,kwasababu kufanya hivo nikujirudisha nyuma kimaendeleo na kujikosesha uaminifu kwa tamaa zako ukaishia kujuta na usitimize lengo lako.
3.msema ukweli mpenzi wa mungu mm nitamuuzia hiyo 100...
Kiukweli kabica sisi kina dada ndo tunaongoza kwa kuwa wasiri na waaminifu hasa mkoa niliotokea mm tunasifika sana kwa uchapa kazi na niwaoga sana kudokoa mali ya mtu.ukinihitaji pia hata mm naweza siyo na hutoamn kwann hukunipata siku nyingi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.