Recent content by Forexman

  1. Forexman

    Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Ni kweli stand up comedy ni ngumu ila haizidi forex trading. Hii kazi unaweza kufanya hata miaka 10 nausitoboe, haitakiwi ujanja ujanja kama kazi nyingine. Kutoboa kwenye forex unatakiwa uwe super intelligent. Ukiweza kufanya forex na ukafanikiwa basi wewe ni legend hakuna brain work yoyote...
  2. Forexman

    Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

    Umedescribe very clear mfumo mzima wa maisha ya kijana wa tanzania. Hizo ndio sababu za kweli zinazomuweka mbali na mafanikio kijana kutoka kaya maskini. Safari ni ndefu na ngumu sana, kila mtu abebe msalaba wake na kila mtu aokoe nafsi yake.
  3. Forexman

    Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

    Hili halikupita machoni wala masikioni mwangu em weka link tuone kilichotokea masta.
  4. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    None of the above, am only here to share ideas buddy.
  5. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    By the way vijana wabongo temechelewa sana kuijua trading bado tuna vingi vya kujifunza, tukiweka nia kila kitu kinawezekana.
  6. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Labda hujaelewa, what i mean is this hii thread sio ya kumfundisha mtu from zero hii thread ni specific kwa wale ambao tayari wameshajifunza na wanaelewa discussion iliyopo mezani so hapa tunapeana maujanja zaidi ya kusaka pips ili tuwe profitable zaidi.
  7. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Scan hiyo picha kwenye app yoyote ya Artificial Intelligence itakuletea every detail about the topic.
  8. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Sipo hapa kuomba strategy wala signals ninajua ninachofanya na ninachopata kinanitosha. Main purpose ya hii thread ni kuwapa maarifa traders ambao wamestruggle muda mrefu bila mafanikio kwenye hii biashara. Mathematics is simple and Trading is simple as well, unachohitaji ni formula na...
  9. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Ingia chimbo jitafute kivyakovyako hatutaki lawama sisi baadae kila mtu abebe msalaba wake.
  10. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Umekula kwanza au ndio unaamka kwa shemeji?
  11. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Ukianguka unajitafuta tena unarudi kazini kuacha sio option unaingia chimbo ukirudi unaendelea ulipoishia safari ndio inakua rahisi. Trading ni simple ila watu hawana concepts zake shida ndio inaanzia hapo.
  12. Forexman

    Wazee wa pips njooni hapa tuelimishane jinsi ya kutafuta pips sokoni.

    Bado hujaacha sema umepumzika kwa muda unajitafuta upya, trading ni tamu sana ukianza huwezi acha hata ukiacha lazima utarudi tena.
Back
Top Bottom