Recent content by FordowStrike

  1. F

    JamiiForums Tanzania Siwauzii woga, ila ni tahadhali

    Katika ulimwengu wa sasa nguvu kubwa ya kuhamasisha Umoja ni mtandao na mitandao ya kijamii. Vipi kama watarudia kama Mwanzo kuzima mitandao kiasi kwamba wa kimara wasijue kinachoendelea gongolamboto na wa tegeta wasijue kinachoendelea Mbagala? Wazo lolote kuhusu hapo Wakuu?
Back
Top Bottom