Mkuu Mchambuzi umeongea vema sana. But I think kila jambo zuri linahitaji muda kulifikia. Kama Mhe. Rais JPM anachelewa kutangaza Baraza kwa sababu ya gharama still sio big deal and I don think hiyo ndiyo fikra yake. Najaribu tu kufikiri kwamba anataka kuhakikisha napata Mawaziri walio...
Kimsingi Lubuva yuko sahihi maana Hackers wa CCM wanachokifanya ni kubadili numbers na sio saini za mawakala. The best way ya kujiridhisha ni kuhesabu upya pengine iwe Manually. Maana utaratibu huu ki-ukweli ilishaleta matatizo kwa nchi ambazo zimeutumia. Tuhesabu kura upya manually irrespective...
Dalaying technic. Afu wakija kutoa tamko kesho litakuwa lenye Mkanganyo ili kuendelea kuwaogofya wananchi......Hata hivyo siku zote haki hushinda. Na uchaguzi huu kuna kina dalili za kushinda
Yes they have admitted Changes. They even don know what to do, where to stand and stand on what. Many Ploliticians in CCM think they will win simply because they have Army and Police. Time for Changes and Changes don wait. We go into Changes with Lowassa, we go into changes with CHADEMA, we go...
Raia Tanzania ni gazeti dada la Raia Mwema chini ya Umiliki wa Jenerali Ulimwengu. Mhariri wake ni Ezekiel Kamwaga aliyekuwa nchini Australia hivi Karibuni katika msafara wa JK.....Unganisha nukta
Mkuu mambo yamebadilika sana. Mama hapendwi kama unavyofikiria. Na sasa vijana ndio mtaji wetu. Kwa bahati nzuri wanatoka kijiji kimoja na Tibaijuka. Lazima Tibaijuka aombe poo.....Kashasira yuko vizuri mno. WanaMuleba wako tayari kwa mabadiriko
Kura za Maoni zimekamilika. Kamanda Alistides aliibuka mshindi kwa kura nyingi ikiwa ni pamoja na kura za Kamati Tendaji ya Jimbo. Ni matarajio yetu kuwa Kamati Kuu itaturudishia jina la Alistides Kashasira. Kimkakati na Kimazingira Kamanda Kashasira anaenda kumgalagaza Mama Tibaijuka...
Ushauri mzuri sana wa kimuafaka. Ni matumaini yangu kuwa baadhi ya mambo yanaweza kutekelezwa soon, mengine yanaweza kutekelezwa kadri siku zinavyokwenda.
Angalau nimeridhika kwamba Mzee Mwanakijiji wewe ni mwanamageuzi wa kweli na si mtu wa kukurupuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.