Kwa watakaohitaji huduma za Mihuri ya haraka hasa makampuni karibuni sana tupo Dodoma pia,
huduma zetu ni za haraka kwa chap
Mawasiliano
0712132888
0759143420
Mihuri aina zote inapatikana Dodoma tu
Tuna huduma ambazo huwezi kupata sehemu yoyote Tanzania.
Hiyo ya juu kulia imetumika silver hot foil
Unahitaji Muhuri + mashine ya kugongea + silver foil = 420,000/=
Bei ya muhuri pekee bila mashine 170,000/=
Karibu
Muhuri pekee ni kama huu hapa chini.
Material: Copper / Brass
Folota Rubber Stamp inapenda kuwataarifu wateja wetu kuhusu aina mbalimbali za mihuri inayopatikana kwetu.
1. Mihuri yenye mshikio wa mbao (Traditional wooden stamp )
2. Mihuri aina ya self inking stamp aina zote na size zote
3. Mihuri aina ya multi-colored self inking stamp
4. Mihuri ya...
Printer inapomaliza kuprint, au inapowaka imekua programmed kusafisha nozzle ili zisi clog, usafishwaji hufanyika kwa kutumia wino uliopo kwenye mitungi, ule wino humwagwa kwenye pad iliyo mithili ya sponge inakua ndani ya printer yako, sasa baada ya matumizi ya muda mrefu hilo sponge hujaa wino...
Jaribu
1. Badilisha usb cable walau 3 tofauti
2. Tumia computer tofauti zenye version walau mbili za windows unaweza kujaribu kwenye pc ya win 10 na win 7.
3. Njia zote za hapo juu zikigoma shida itakua kwenye interface card ya printer yako.
soln
1. Ipeleke kwa fundi waicheki card
2. Kama ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.