Huu muungano tangu hapo wanzo ulikuwa una kasoro,zanzibar kwa wakati inaunana na tanganyika ilikuwa na watu laki tatu(300000) tu tanganyika ikiwa na watu millioni ishirini au zaidi(2000000 etc), ukiangalia kigezo hicho tu utaona kuwa huu muungano ni pokos pokos bhaembla bhahal
huwezi kumuweka...
Mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni Genocide hiyo inajulikana,lakini sioni sababu ya kurejesha mambo yaliyopitwa na wakati, hizo video sio za leo wala jana zimezagaa Europe,lazima tujiulize kuonyesha video hizo zitaisaidia chochote jamii ya wazanzibar ambao wengi wetu hayo mapinduzi tunayasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.