Hapana jamaa kaeleza vizur sana kwanza kazungumzia internal facts alafu akaja ushawishi wa nje ambao umechochea vurugu piya,kimsingi vurugu zote zinazotokea nchi nyingi dunian kuanzia arabun mpaka africa yanakua n matokeo ya makabiliano y madola makubwa
Ndugu samahan naomba uweke sawa jambo moja,wakat w mapinduz ya sudani n jesh l selikali ndo lilifanya mapinduz au hawa rfs,au wote waliunga mkono mapinduz piya naomba unisaidie kuna ile selikali ya kiraia iliumdwa baada y mapinduzi lakin haikudumu ikapinduliwa nawasilisha mkuu
Vita vya syria n vita mbaya sana ambayo wananchi w syria wamepitia yakichochewa zaid na mataifa ya magharibi as wel as ilivyokuwa libya kuna kila sababu ya mataifa mengine kujifunza kitu n kosa kubwa sana kuruhusu madola makubwa kupimana nguvu katika ardhi ya nchi zenye maslahi kupitia kigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.