Recent content by focus ngajimala

  1. F

    Nafasi ya kazi ya mtoa dawa

    Hapana kazi yao ni kutoa mafunzo kwa watoa dawa mikoani na Dar then wanawapatia vyeti accredited cerficate of drug dispensing.
  2. F

    Nafasi ya kazi ya mtoa dawa

    Nafasi ya kazi ya mtoa dawa mmoja SIFA ( 1)awe na cheti cha addo Duka lipo Chanika piga namba 0714221247, 0787362818
  3. F

    Natafuta kazi Nursing and medical attendant

    Uzoefu 3years nipo Morogoro. Ila hata ya kuuza pharmacy
  4. F

    Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa

    Kuna kijana anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa drug dispensing anauzoefu wa miaka 3..
  5. F

    Msaada kusoma nursing college kwa Dar?

    Anataka Certificate in nursing _
  6. F

    Msaada kusoma nursing college kwa Dar?

    Kamaliza mwaka 2010 ila matokeo yake hajaniambia! As well anataka chuo cha Private only!
  7. F

    Msaada wa kusoma college Dar?

    Habari wana_jukwaa?? kuna_dogo kaniomba msaada wa kumtafutia chuo cha uuguzi Kwa Mkoa wa Dar es salaam! Bt amesema chuo chochote kile ila kiwe Dar.
  8. F

    Msaada kusoma nursing college kwa Dar?

    Habari wana_jukwaa kuna_dogo kaniomba msaada wa kumtafutia chuo cha uuguzi Kwa Mkoa wa Dar es salaam! Bt amesema chuo chochote kile ila kiwe Dar.
  9. F

    Diploma in nursing Zanzibar

    Nisha mreport as a spm coz hatuwezi kukaa na mtu darasa la7 humu Jamiiforum. #Oil sumu
  10. F

    Ana Diploma, Anapenda Kuendelea na Elimu ya Juu, Afanyeje?

    Aombe kupitia nacte! Au tembelea NACTE : National Council for Technical Education | Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  11. F

    Msaada wa kusoma cetificate St John Dodoma

    Naomba kujua certificate in laboratory! Entry Qualifications zao.!!
  12. F

    Msaada wa kusoma cetificate St John Dodoma

    Naomba kujua joining instruction za certificate in laboratory! Exactly Entry Qualifications zao.!!
  13. F

    Msaada Certficate ya St john university

    Naomba msaada wa kujua Qualification ya kusoma certificate in laboratory!
  14. F

    Msaada kwa wanaokijua chuo cha Primary health institute iringa

    Naomba mawasiliano na chuo hiki au qualification zao kwa certificate in Nursing?
Back
Top Bottom