Recent content by Fmangapii

  1. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Wewe kama kweli ni CCM,inakuuma nini Zito kurudi CHADEMA,wewe utakuwa wa ACT unahaha,by the way lini uliambiwa Zito katoka CHADEMA,my dear this is what the late Njonjo used to say,IN POLITICS THERE IS NO PERMANET FRIEND NRO PERMANENT ENEMY,politics is a dirty game Sawa Ngonani lakini yalikuwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Wakati napata akili timamu mitaa ya Kitambwe maeneo ya Mwanga Kaskazini pale mjini kigoma ndipo niliposikia Jina la shujaa Zitto Zuberi Kabwe toka mkoa wa kigoma. Huyu mtu ndiye shujaa wangu mpaka sasa, Baada ya kuwa na migogoro na chama chake cha chadema, wananchi wa kigoma walikasirishwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuambieni mmekusanya shilingi ngapi kupitia Mitandao ya Simu?

    Si rahisi kukuta chama cha siasa kikiweka mapato yake wazi kwa wanachama wake, hasa kwa nchi zinazoendelea kwani demokrasia imekuwa kitendawili.. Chadema, CCM wote wale wale..
Back
Top Bottom