Bar ya Triple 7 iliyoko Mikocheni kwa kweli wahudumu wamezidi kuibia wateja. Naamini wengi tunakula pale lakini Bei ya chakula mara nyingi wahudumu wanatuibia Sana.
Mimi ni mmoja wapo, kila nikienda pale kuna chakula kinaitwa changamoto either ya kuku, samaki, mbuzi etc huwa kinauzwa 10,000 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.