Mkuu naomba tuwape elimu ndugu zangu juu ya mambo haya!
Mawazo yako ni yapi kuhusu kuzuia spree shooting ( shambulizi la risasi za moto la muda mfupi lisilo na mpangilio)?
Je watu watawezaje kukabiliana na hili jambo!
Hii taarifa kama ni kweli basi tupo katika stage mbaya sana ya nne ya shambulizi la kisaikolojia wengine hupenda kuuita devide and conquer!
Mambo haya nimeyaeleza katika andiko langu la Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama
Kukitokea mpasuko...
Bewere sihamasishi watu kufunga barabara lakini
1. Kawaida nguvu zao kubwa ni pia udhaifu wao
Uwezo wa haraka na kusogea: wanatumia magari na silaha za moto, hivyo wanaweza kushambulia haraka.
Udhaifu wa uangalizi wa umma: wanategemea kujificha na kudanganya raia (mfano: askari “wa kirafiki”...
Wauaji walitawala na kuteka barabara ,, walitumia gari kama usafiri barabara ilikua advantage kwao!
Kama wataandama watanzania mtakaobaki majumbani , kama watu wasiojulikana wataanza kupiga risasi kiholela ,mjue barabara ndio weakness Yao ya kwanza.
Sijui mtaitumiaje hiyo weakness kama...
Sawa MUNGU ni wetu sote , sauti yangu sio ya unabii lakini baada ya maisha haya tutaulizwa mbele ya haki , ichunge sana nafsi yako sababu hakuna kitu permeant hata uhai ulionao
Unafanya mocking wakati najaribu kushauri watu wafanye Nini next time wakiwa under attack?
Hata watoto wadogo...
Mbinu hii inaitwa "
Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal"
Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 ,
nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
How are you going to tackle internet shutdown??
They have guns how are you going to face them?
What is it that you need to be changed?
Detail every thing,else this will be a wretched bangle! All the best comrades.
Baraka zako napokea🙏, japo moyoni Bado nina majonzi mazito! Nyama za moyo wangu Bado zatetema na kutoka jasho la damu.
Nilizoea kuyasikia haya Mogadishu lakini Leo nimeyaona Tanzania Tena kwa kiini Cha macho yangu
Nawakumbusha ndugu zangu "A lion can be born mighty, with fangs like promises...
Itoshe kusema historia mpya imeandikwa nami nitawaenzi ndugu zangu kwa kuandika kitabu chenye hisia na mwanga kuwakumbuka toka moyoni.
Amini tunaye MUNGU na kizazi chenye akili sana kuliko waliowaua ndugu zetu kama Hitler.
Hatuta isha Bali tutaishi.
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani.
Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari.
Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania,
lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani,
ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo.
Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
TIA hawajayaona yote haya instead wanetumia kigezo kimoja TU kufanana kwa mwandiko of which frankly speaking mwandiko wenyewe haufanani kabisa, no any forensic expert where hired
vipo vigezo vingi sana na baadhi ya vigezo hivyo ni ivi vifuatavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.