Kutokana na vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo, au kusoma katika mazingira magumu ya kukosa vitendea kazi, baadhi ya vijana wa kitanzania wameamua kuanzisha foundation hii 'Flying Bird With A Broken Wing Foundation' (FlyingbirdTanzania), kwa lengo la kuwaleta pamoja wadau wa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.