mi sijifii kama nina class c no. Apa nilipo ninaendesha bein ben ya wachina, lakini tajiri hana mkataba wala mshahara yani ninaish kwa posho ambayo haizid elf kumi ndugu yangu
Mimi nina umri wa miaka 30, nina leseni class C FLAT ninauwezo wa kuendesha kila aina ya gari. Pia nina PSV CERTIFICATE ya VETA. Kwa mwenye nafasi tujulishane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.