kwamba mtu anapofikia umri wa kustaafu au kama kazi ni ya mkataba ukiisha siunapewa mafao yako(yaani kiinua mgongo),sasa sheria ya mafao ya zamani ilikuwa unapewa 5% ya gross pay x number of months,ila ya sasa hivi unapewa mshahara wako wa wiki moja tu kwa mwaka mzima x number of years tena...
jamani wanajamii forum nilikuwa nataka ufafanuzi zaidi kuhusu sheria mpya ya mafao yaani severance allowance.jamani tuijadilini naona inatubana walala hoi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.