Nimeona jana tukio la wanyama kama Twiga wakisafirishwa na kupelekwa hifadhi mpya ya Burigi Ambayo inapatikana Mikoa Miwili Kagera Na Geita, wilaya Muleba, Biharamulo, chato, karagwe.
#kwanza naipongeza serikali kutenga pori hili kuwa hifadhi ya Taifa.Kwa wasiofahamu pori hili linachukua eneo...
Waziri wa zamani na Mbunge wa jimbo la Blantyre Kaskazini Mashariki mwa Malawi, Cecilia Chazama amevunja nyumba aliyokuwa amemjengea mama mmoja maskini kwenye jimbo lake baada ya mama huyo kushangilia Cecilia alipoangushwa kwenye nafasi yake ya ubunge.
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini...
Hakika Mkoa wa Mwanza umejihakikishia kushinda uchaguzi wa serikali za Mtaa pamoja na uchaguzi Mkuu 2020. Hii ni kutokana Na Hamasa iliyojengeka kwa vijana kwa kukubali Mambo mazuri yanayofanywa na Rais John Magufuli.
Hakika CCM Mwanza USHINDI NI SAA MBILI ASUBUHI.
HONGERA VIONGOZI WA UVCCM...
USHAURI KWA VYAMA VYA UPINZANI KUELEKEA 2020 NAFASI YA UBUNGE NA URAIS!!
Road To 2020.
Florian Musumi.
Mwanza.
1. Mgombea Urais.
Kwa hali inavyoendelea Sasa Karata pekee kwa vyama vya upinzani ni Tundu Antipas lissu, wanaharakati na wanachama wa vyama vya upinzani Walio wengi wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.